December 16, 2014

North West mtoto wa Kim Kardashian alivyojichanganya na watoto wenzake jana

Awali mtoto wa mastaa Kim Kardashian na mumewe Kanye West ilikua ni vigumu kuonekana lakini sasa wazazi wa mtoto huyo wameonekana kumpa m... thumbnail 1 summary
Kourtney Kardashian_ Kim Kardashian and her baby North West arrive at the _Givenchy_ store in Paris
Awali mtoto wa mastaa Kim Kardashian na mumewe Kanye West ilikua ni vigumu kuonekana lakini sasa wazazi wa mtoto huyo wameonekana kumpa mtoto
wao uhuru na safari hii mtoto huyo alikua akivinjari na kucheza katika fukwe za Staples center Los Angeles na watoto wenzake ambao ni binamu zake.
not
Wakati watoto hao wakifurahi pamoja jana familia hiyo iliongeza furaha baada ya Dada wa Kim Kardashian, Kourtney na mumewe Scott Disick kujaliwa mtoto wa kiume ambaye anaongeza idadi ya familia hiyo na kufikisha watoto watatu.
dogo
North ambaye kwa sasa amefikisha miezi 17 alipelekwa kwenye fukwe hizo akiogozana na watoto wawili wa dada wa staa huyo Kourtney  ambaye kwa sasa ni mzazi,ambao ni Penelope na mdogo wake Mason pamoja na watoto wengine wa rafiki wa karibu wa familia hiyo.
kim no
North akiwa sambamba na wazazi wake alikua amevalia koti jeusi pamoja na suruali ya kubana pamoja na viatu aina ya buti rangi ya brown alionekana kufurahi na watoto wenzake huku wazazi wao wakiwaangalia kwa ukaribu.
famly

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: