July 21, 2014

Huyu ndiye Mwanamke aliyejipatia mamilioni kutokana na uvutaji sigara wa mumewe.

Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mke wa... thumbnail 1 summary
sigarr
Kampuni ya pili kwa ukubwa katika utengenezaji wa sigara nchini Marekani imeagizwa kulipa kitita kikubwa cha dola billioni 23 kwa mke wa mwathiriwa mmoja wa sigara aliyefariki kutokana na saratani ya
mapafu.
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, Mjane huyo Cynthia Robinson alichukua hatua dhidi ya kampuni ya sigara ya R.J Reynolds baada ya kifo cha mumewe aliyekuwa na miaka 36.
Kampuni hiyo imeyataja malipo hayo kama yasio na haki na kusema kuwa itakata rufaa.

Wakili wa bi Robinson amesema kuwa kampuni hiyo ya sigara iliuza sigara hizo bila kutoa tahadhari yoyote kuhusu tishio la uvutaji wake.
chanzo: millardayo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: