Ni jioni iliyowakusanya watu wengi ambao walikuja kwa ajili ya kuona namna brother
kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Dr.Cheni anavyosherehekea
siku yake ya kuzaliwa ambayo ni July 20.
Mastar
kadhaa kutoka Bongo Movie na Bongo Fleva walikusanyika kumpongeza
Dr.Cheni kwenye siku yake hii ambayo kwake kaitumia kuwafuturisha wote
waliohudhuria kisha ikafata kula keki kwa kila aliyehitaji.
Miongoni
mwa mastar kadhaa walikuwepo ni pamoja na Jb,Shamsa Ford,Ray,Steve
Nyerere,Shetta,Profesa Jay,Lulu,Mrisho Mpoto,Ray,Young killer,Khadija
Kopa na wengine kibao.