Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana, hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen
11:25
Video ya wimbo mpya wa Jux, ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa ham sana, hasa watu wakitaka kufahamu kama video queen
atakuwa ni Jack
itazinduliwa siku ya jumapili ndani ya Billcanas
Jux alithibitisha kumuimbia girlfriend wake Jack ambae alipatwa na matatizo akiwa nchini China.