June 13, 2014

KANYE WEST AONDOA NENO ‘JAY Z’ KWENYE MASHAIRI YA NYIMBO ZAKE 3 WAKATI WA LIVE PERFORMANCE.

Kama ulidhani Kanye West alichukulia poa Jay Z na  Beyonce kuipotezea harusi yake na Kim Kardashian  mwezi uliopita, basi fikiria upya k... thumbnail 1 summary
Kama ulidhani Kanye West alichukulia poa Jay Z na Beyonce kuipotezea harusi yake na Kim Kardashian mwezi uliopita, basi fikiria upya kwakuwa Yeezy alimind.



Weekend iliyopita West aliziongezea nguvu fununu za kuwepo kwa beef kati ya washkaji hao wakati akitumbuiza X Games huko Austin, Texas. Wakati akiimba nyimbo tatu za mwisho, Kanye aliondoa jina Jay kwenye mashairi yake ya kawaida. Kwenye wimbo wake Cold, West hurap “Lucky I ain’t had Jay drop him from the team.” Badala yake alilitoa jina “Jay” na kuacha beat peke yake. Kisha kwenye Blood on the Leaves, pia aliacha jina la Jay kwenye mstari usemao: I don’t give a damn if you used to talk to Jay Z.” West pia aliubadilisha mstari usemao: “He ain’t with you, he with Beyoncé, you need to stop actin’ lazy” na kusema “You need to stop actin’ crazy.” Pia aliondoa jina la Jay kwenye wimbo Touch the Sky.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: