June 30, 2014

Pale girlfriend wa Chris Brown alipokutana na @DiamondPlatnumz na kumuhoji kwenye red carpet

Karrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudh... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-06-30 at 4.32.15 AMKarrueche Tran mrembo ambae ni mpenzi wa mwimbaji staa wa dunia Chris Brown alihusika kama mtangazaji na kuhoji watu mbalimbali waliohudhuria tuzo za BET 2014 ambazo
Mtanzania Diamond Platnumz alichaguliwa kushiriki kama msanii kutoka Afrika na tuzo hiyo kuchukuliwa na Davido wa Nigeria.
Katika watu ambao Karrueche aliwahoji ni Diamond Platnumz ambae alielezea ni jinsi
gani amefurahi kuwepo kwenye kuwania tuzo ya BET 2014, alimtaja msanii ambae angependa kumuona kwenye stage ndani ya usiku huu pamoja na mengine tazama kwenye hii video fupi hapa chini.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: