June 30, 2014

MAMBO SABA AMBAYO YANAMUUDHI MPENZI WAKO

MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI MPENZI WAKO 1. Mwanamke akivaa kwa ajili ya kutoka kwenda kwenye sherehe, kanisani , au mahali popote hau... thumbnail 1 summary

MAMBO HAYA SABA YANAMUUDHI
MPENZI WAKO
1. Mwanamke akivaa kwa ajili
ya kutoka kwenda kwenye
sherehe, kanisani , au mahali
popote haupaswi kumuuliza
"baby hicho ndo
unachovaa?" au " baby
utavaa nguo hizi?" maswali
haya huondoa mudi kabla ya
tukio , Mwanaaume
amejaliwa uwezo wa
kumfurahisha mwanamke

kwahiyo ni bora kutafuta njia
nyingine mbadala ya
kumwambia .
2. Usipende kuuliza kuhusu
maisha ya kimapenzi
yaliyopita au usimwambie
mpenzi wako kuhusu mpenzi
wako aliyopita , binadamu
ameumbwa kuwa mtu
mwenye kutaka kufahamu
kila kitu kwahiyo
jitahidi
kutopenda kuongelea
mambo yaliyopita kumbuka
YALIYOPITA SI ……….. malizia
3. Usipende kujiongelea au
kuhusu mambo ya kazini
4. Usimsahihishe mpenzi
wako au kumuaibisha mbele
za watu
5. Usipende kuhisi kila kitu
unachoongea mpenzi wako
anakielewa
6. Usimlinganishe mpenzi
wako na mtu
mwingine
yoyote hata kama kaka , rafiki
wa karibu au ndugu
7. Usipende kufikiri
unachopenda wewe mpenzi
wako anakipenda mpe fursa
mpenzi wako kuchagua
anachotaka na usiwe mtu wa
kumfanyia maamuzi

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: