May 10, 2014

WEMA ALIVYOONYWA JUU YA RAFIKI ZAKE KUMSALITI ....HIVI NDIVYO ALIVYOJIBU

Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa... thumbnail 1 summary
Naomba nikukumbushe kwa ufupi namna Wema alivymeet na Diamond na Usaliti ulivyoanza na alijibu nini kila aliposalitiwa na rafiki zake wa karibu;


Hebu tuzungumzie uhusiano wako na Diamond ambao katika mahusiano yako yote ndio ulioandikwa zaidi kwenye magazeti, unakumbuka mlikutana wapi?

Mi na Diamond tuliwahi kukutana mara moja tu Billcanaz na hatukuwahi kusalimiana kabla ya kuanza uhusiano lakini tulikuwa tunaangalia sana, so nakumbuka alikuwa yupo smoking room kwahiyo tukawa tumepeana migongo, nilikuwa na rafiki zangu wawili. Nikamuona akaniona yeye alikuwa na rafiki yake, hatujasaliamija hatujafanya chochote mimi nimechukua vinywaji tukatoka nje na marafiki zangu tumesimama hapo nje nikawa naambiwa ‘yule ndio ameimba Kamwambie’ kipindi hicho nilikuwa namuona wa ajabu sana ila tu alijiseksisha kiasi fulani (kicheko kirefu).

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: