May 23, 2014

UTAALAMU WA KUDILI NA SEHEMU NYETI ZA MWANAMKE ILI KUMKOJOLESHA MARAMBILI KWA WAKATI MMOJA.

Zipo sehemu nyingi sana zinazoweza kumfanya mwanamke ajisikie utamu ambao hakuwahi kuuhisi kutoka kwenye kitendo chochote zaidi ya waka... thumbnail 1 summary
Zipo sehemu nyingi sana zinazoweza kumfanya mwanamke ajisikie utamu ambao hakuwahi kuuhisi kutoka kwenye kitendo chochote zaidi ya wakati wa kufanya mapenzi, Raha hii hutegemea sana na
utaalamu wa kuchezeana na kudili na sehemu zinazotoa mshawasha zaidi katika mwili.
Leo tutaangalia sikio ambalo liikishughulikiwa sawasawa huweza kumfanya aongee hata maneno asiyoyajua kutokana na raha aipatayo.
Mtu anaweza kuona kuwa hii ni sehemu ndogo sana ambayo haina mchango wowote katika kumpa raha mpenzi wako,ukweli ni kwamba hii si sehemu ya mchezo hata kidogo kwani mwanaume/mwanamke hupata raha sana anaposhughulikiwa masikio yake, kwani masikio ni kiungo chenye uwezo mkubwa sana wa kuleta/kuamsha hisia zilizolala.

Namna ya kudili na kiungo hiki.

*Hakikisha masikio yako yako safi kila wakati na si muda wa kufanya mapenzi pekee.Usafi huu hufanywa wakati wa kuoga na baada ya hapo unaweza kutumia cotton buds (pamba za masikio) ili mkuondoa uchafu uliopo sehemu ya ndani kabisa ya masikio.

*Wakati mmeanza kushikana na kuchezeana hapa na pale,anza kwa kumnong’oneza mpenzi wako huku ukimwambia maneno matamu,baada ya muda mfupi anza kumbusu masikioni kwa upole na taratibu (mabusu yasiyo na sauti).

*Baada ya kumwagia mabusu yenye sauti ya chini anza kulamba sehemu yake ya nje ya masikio huku mikono yako ikimpapasa mgongoni na sehemu nyingine kwa mahaba. Waweza kumtekenya kidogo huku ukimpa maneno ya kuliwaza.
*Anza kuuchomoa ulimi wako na kuungiza katika kona mbali mbali za sikio la mpenzi wako huku ukishusha pumzi taratiibu. Waweza pia kufyonza kimtindo kijishimo cha sikio na ukifanya hivi utamwona tu mpenzi wako anaruka kwa msisimko wa ajabu.
Usimfyonze kwa nguvu kishimo cha sikio kwani unaweza kumsababishia maumivu.

*Ukiendelea na shughuli hii nyeti mnaweza  kujikuta mnapiz kabla hata hamjafanya mapenzi,Kama hautaki kupoteza sana muda na sehemu hii ya sikio waweza hamia sehemu zingine kama shingo,chuchu nk.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: