March 30, 2014

SINTA NA ISHU NZIMA YA BIG BROTHER AELEZEA .. SOMA HAPA ZAIDI

Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana had... thumbnail 1 summary


Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi
ya Zari Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother Africa ..na Kwamba alimwambia Zari See you Soon akiwa na maana wataonana kwenye Jumba Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na Kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi.....

"Kadiri ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila kuna kaboy kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa hawa ndio wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a long talk wit Zee over the phone, of course was down she was trynaa to cheer me up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili nyingine za wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani nilikuwa najifananisha? ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana marafiki na je atazikwa na mali zake? mnamkuza dada wa watu wala hana shauwo kihivyo mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata matako hulia mbwata......


yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in Social Media my dear some of us, went to school and learn Ethics in Diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane IG,fb, Twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama Christine John Manongi

KWA HABARI MOTOMOTO BONYEZA HAPA KU-LIKE PAGE YETU FACEBOOK NA WHATSAPP


kama unaona nafaidi angekuita wewe Ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza..sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with Tanzanians? maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you.. sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye IG subiri na mimi unione ktk jumba lile la Big bro soon SA, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza Hedexkwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest "

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: