March 22, 2014

HAWA NDIO WASANII WATANO WA KIKE BONGO MOVIES WENYE MAFANIKIO KUPITIA FILAMU..[MAPICHA]


1.JENIFA KYAKA ODAMA

2.SALMA JABU NISHA

 3.JACKLYN WOLPER

4.AUNTY EZEKIEL

5.WEMA SEPETU
Kwa mujibu wa tathmini ya watanzania wadau wa filamu ni kwamba Hao hapo pichani imesemekana kuwa ndio wasanii wa kike Bongo Movieswaliojipatia mafanikio kupitia kazi Filamu zao wenyewe, Na kufikia hatua ya kumiliki Kampuni zao wenyewe.

FILAMU BINAFSI
Kwa mfano kama mwanadada Odama mpaka sasa ameweza kutoa Filamu zake mwenyewe na zikafanya Vizuri sokoni,

FILAMU BINAFSI
Huku akufuatiwa na mwadada Salma Jabu Nisha kwa kuliteka soko la Filamu Tanzania kwa Movie yake iliomzolea mashabiki iitwayo Tikisa akatikisa Tanzania nzima hatimaye kutoa nyengine iitwayo GUMZO na ni kweli imekuwa Gumzo Afrika mashariki.

Vilevile Jacklyn Wolper na Wema Sepetu nao wanakula matunda ya Sanaa yao, Kwa kifupi warembo hawa sanaa imewaweka pazuri Maisha yao sio tegemezi tena. 

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: