March 22, 2014

BRAZAMEN HEMED PHD SASA ATANGAZA KUOA....SOMA HAPA

Hemed akiwa na video queen   Zuhura Gora. BRAZAMENI  mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amew... thumbnail 1 summary


Hemed akiwa na video queen  Zuhura Gora.
BRAZAMENI mwenye swaga za utozi kwenye soko la filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amewataka wanawake wanaommendea kukaa naye mbali kwani tayari anajiandaa kumuoa mpenzi wake aliyemtaja kwa jina la Muna.

 Kuonesha msisitizo, Hemed alifunguka:
“Mambo ya ujana nimeyaweka kando, nimeamua kuoa kabisa maana ukiendekeza mambo ya ubachela siyo mazuri sana, vidosho viniache.”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: