June 07, 2016

Video: Mashabiki walivyovunja show Kanye West mjini New York

Wikiendi hii rapper, Kanye West alilazimika kuvunja show yake baada ya mashabiki kuwa wengi zaidi na kupelekea kuvunjika kwa show hiyo kuto... thumbnail 1 summary
Wikiendi hii rapper, Kanye West alilazimika kuvunja show yake baada ya mashabiki kuwa wengi zaidi na kupelekea kuvunjika kwa show hiyo kutokana na hofu ya usalama.
Show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Webster Hall, New York ilihudhuriwa na mashabiki zaidi ya 4000 huku ukumbi huo ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 1500 tu hali iliyopelekea waanzishe fujo na kuharibu mali za watu.

Hata hivyo Kanye West amepanga kufanya show nyingine kwa kushtukiza baada ya hii ya New York kuvunjika.

Tazama video hapa


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments