May 19, 2016

TBT: Pichaz 4 za Diamond na Alikiba walizowahi kupiga pamoja

Mtu wangu wa nguvu najua sasa hivi imekuwa kawaida kwa kila mtu kutumia siku ya Alhamisi kuweka picha zake za zamani katika social networ... thumbnail 1 summary
Mtu wangu wa nguvu najua sasa hivi imekuwa kawaida kwa kila mtu kutumia siku ya Alhamisi kuweka picha zake za zamani katika social network, lengo likiwa kama kukumbukia maisha au tukio fulani la nyuma, mtu wangu wa nguvu nimekuletea pichaz za zamani za Diamond na Alikiba walizowahi kupiga pamoja.

Kutoka kushoto AY, Alikiba, Rose Muhando, Diamond na Mwana FA


Kutoka kushoto Diamond, Alikiba na Berry Black

Kutoka kushoto Alikiba, shabiki na Diamond

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments