May 11, 2016

NICKI MINAJ AMZAWADIA MEEK MILL SAA KAMA ZAWADI KWENYE BIRTHDAY YAKE.

Meek Mill na Nicki Minaj wanazidi kuthibitisha kuwa wao ni Power Couple baada ya kuonekana pamoja wakiwa na raha kwenye siku ya kuzaliwa y... thumbnail 1 summary
Meek Mill na Nicki Minaj wanazidi kuthibitisha kuwa wao ni Power Couple baada ya kuonekana pamoja wakiwa na raha kwenye siku ya kuzaliwa ya Meek Mill.
Nicki Minaj amesafiri mpaka nyumbani kwa Meek Mill akiwa na zawadi ya saa kali aina ya Rolex, iliyotengenezwa maalum kwa Meek Mill na mbunifu mambo hayo Joe the Jeweler.



SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments