Msanii wa Bongo fleva Mwanadada Pam D a.k.a Pam Daffa amefunguka kwa kusema kuwa anatamani kufanya kazi na V Money kwa sasa.
Pam D akiongea na Enewz alisema wiki ijayo ataachia ngoma yake aliyoshirikiana na Nay wa Mitego, lakini zaidi ni kuwa anatamani sana kufanya collabo na Vanessa Mdee.
No comments
Post a Comment