March 12, 2016

VIDEO: Dogo Janja kafanyiwa suprise na kuzawadiwa gari aina ya Benz

Dogo Janja  ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ ... thumbnail 1 summary

Dogo Janja ni msanii wa bongofleva kutokea Tiptop connection ambapo siku kadhaa zilizopita aliachia single yake mpya ya ‘my life’ kwa mara ya kwanza, sasa March 10 2016 wakati yupo katikati ya Interview akihojiwa na Diva usiku kupitia CloudsFM
 akafanyiwa suprise ya zawadi ya gari…. bonyeza play kwenye hii video hapa chini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: