March 02, 2016

Mkubwa Fella “Hakuna Madawa ya Kulevya wala Nini ” Afunguka Hapa

Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella amekanusha madai ya kwamba wasanii wake wamekuwa wakijihusisha na biasha... thumbnail 1 summary
Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella amekanusha madai ya kwamba wasanii wake wamekuwa wakijihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.
Akiongeza na Sporah Show ya Clouds TV Jumamosi hii, Fella aliulizwa kwamba kuna taarifa zina sambaa kuwa wasanii wake pamoja na yeye mwenyewe anajihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

“Hakuna madawa ya kulevya wala nini,” alisema Fella.

Aliongeza, “Mimi mwenyewe nakituo changu cha kuwasaidia walio athirika na madawa ya kulevya. Teja wowote akitaka kuja kupona ni bure, sasa kama mimi ni muuzaji tena kwanini niwatibu, si napoteza wateja,”

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: