March 22, 2016

MHH: K-LYNE AMUANDIKIA MHESHIMIWA MENGI UJUMBE MZITOOO

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya I... thumbnail 1 summary
Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe

aka K-Lyin amemtumia salamu mzazi mwenzie kwa kuweka picha hii:

TAZAMA >>Birthday ya Ronaldinho, hivi ni vitu vitano vya kukumbukwa kutoka kwake (+Video)
Nakuandika ujumbe huu:
"Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday With all my love"
Mtandao Huu unakutakia furaha na maisha marefu mzee wetu!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments