March 23, 2016

Alichoandika Dogo Janja baada ya kuona maneno ya Instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz

UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0626 691 232. HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. END... thumbnail 1 summary
UNAWEZA KUTUTUMIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0626 691 232. HABARI ZENYE UHAKIKA PEKEE NASI TUTAZIFANYIA KAZI. ENDELEA KUHABARIKA NA MTANDAO WETU.

Headlines za mkali wa Hip Hop, Chid Benz bado hazikwisha kwenye mitandao ambapo leo March 22, 2016 Dogo Janja alipost kile ambacho hakupendezwa baada ya kuona maneo
ya instagram ya Young Dee kuhusu Babu Tale na Chid Benz.

Baada ya video kusambaza na kuanza kuchukua headlines ikiashiria Babu Tale amejitosa kumsaidia rapper huyo Young Dee aliandika haya kupitia ukurasa wake wa instagram na kusema…‘‘Challenge kwako blaza hii ni aibu sidhani Kama kuna die hard fan wa ukweli wa chidi Kama ataipenda hii Au ata Kama ni kweli una mpango wa kumsaidia kama manager bora Afrika..! Nimeiona hii nmeshtuka tale! Babu Tale umeniangusha Kwa hili.. Starting to heal but kill the best rapper mbele ya macho ya watanzania’ – Young Dee

Maneno hayo yalionekana kumkwaza Dogo Janja ambaye naye kupitia ukurasa wake wa instagram naye alipost kile alichokiandika Young Dee na kusema…’Young Mpengaji… Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka Totoro..Nawanyima Chakula Mwaka huu Mule Magodoro! Ukiona Mwenzako Ananyolewa Na Wewe Tia Maji’ – Dogo Janja

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW:

No comments