February 23, 2016

Kim Kardashian Aonesha Picha ya Mwanae Saint West Kwa Mara ya Kwanza, Zipo Hapa

Hatimaye Kim Kardashian ameonesha picha ya kwanza ya mwanae wa pili na Kanye West, Saint West. Kim ameamua kuonesha picha hiyo katika sik... thumbnail 1 summary
Hatimaye Kim Kardashian ameonesha picha ya kwanza ya mwanae wa pili na Kanye West, Saint West.
Kim ameamua kuonesha picha hiyo katika siku ambayo amesherehekea siku ya kuzaliwa ya baba yake, marehemu Robert Kardashian.

“Today is my dad’s birthday. I know there’s nothing more in the world he would have wanted than to meet his grandchildren. So I wanted to share this pic of Saint with you all,” ameandika Kim kwenye website yake.

Wema Sepetu ni miongoni mwa mastaa waliofurahia picha ya mtoto huyo.

“Gnyt now… But Kimberly Kardashian sio kwa mtoto mzuri hivi jamani… Kama Pipi…!!! Mashallah jamani… God…! You are Able…! Saint West mzuri mno jamani… Dis Baby Boy too pretty ooo,” ameandika kwenye Instagram.

Saint alizaliwa December 5 mwaka jana.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: