Mwimbaji Justin Bieber ambaye sasa hivi jina lake linatajwa sana kwenye Radio na TV kutokana na hit single yake ya ‘sorry’ aliitwa kwenye TV show
ya Ellen ambapo alitakiwa kuwa-suprise mashabiki zake wa kike ambao walikua hawajui kama Justin yuko kwenye hichohicho chumba cha studio, tazama hii video hapa chini