August 31, 2015

‘Cheza kwa Madoido’ ya Yamoto Band tayari ipo hewani mtu wangu!!…(Video)

Yamoto Band  walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya ‘Cheza kwa Madoido’   chini ya Mtayarishaji  GodF... thumbnail 1 summary
Yamoto Band walisafiri hadi Afrika Kusini kufanikisha Video ya ngoma yao mpya ya‘Cheza kwa Madoido’ chini ya Mtayarishaji GodFather.

Diamond Platnumz ndiye aliyefanikisha video hiyo kwa kiasi kikubwa kuweza kufanyika Afrika Kusini baada ya kuwakutanisha na GodFather na kugharamia.
Nakukaribisha uitazame hapa mtu wangu…

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: