July 30, 2015

Mapokezi ya Lowassa kuchukua Fomu na alivyosindikizwa mpaka Ofisini kwake…

July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba a... thumbnail 1 summary

July 30 2015 inakuwa siku ya tatu toka utolewe uthibitisho rasmi na Waziri Mkuu wa Zamani na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba anajitoa CCM na kujiunga CHADEMA…. Tayari kafika Makao Makuu ya Ofisi za CHADEMA,
Kinondoni Dar es Salaam na kuchukua Fomu ya Kugombea Urais kupitia Chama hicho.

Hizi ni pichaz pamoja na maneno waliyoongea Mbunge Freeman Mbowe, Tundu Lissupamoja na Edward Lowassa mwenyewe!!

Kikosi cha Ulinzi CHADEMA wakiwa nje ya Makao Makuu ya Chama hicho.







Mbunge Mchungaji Peter Msigwa akiongea jambo na mwandishi wa Habari.

Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wakionesha Kadi za Kupigia Kura.












.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: