May 10, 2015

Mchumba wa Shilole Nuhu Mziwanda Atoa Kali Nyingine ya Mwaka...Hii Sasa Kutafuta Kick

Imenibidi kushare nanyi labda mtaelewa post ilivyoandikwa sijui ni kiingereza au kifilipino tueleweshane wapendwa thumbnail 1 summary
Imenibidi kushare nanyi labda mtaelewa post ilivyoandikwa sijui ni kiingereza au kifilipino
tueleweshane wapendwa

Nuhu Ameandika Hivi kwenye caption ya hiyo picha hapo Juu : She is my angel to me and inside my heart is draw she is name by natural ink from the God , love of me mziwanda to she is so not aproched with others girls

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: