May 12, 2015

MABINGWA Chelsea FC Waanza Harakati za Usajili…Wamnasa Mshambuliaji Huyu Hatari wa Brazil!

Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea imeanza mikakati yake ya kuhakikisha msimu ujao inatetea taji hilo kwa mara nyingine baada y... thumbnail 1 summary


Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea imeanza mikakati yake ya kuhakikisha msimu ujao inatetea taji hilo kwa mara nyingine baada ya kufanikiwa kunasa saini ya kinda wa Kibrazil Wonderkid Nathan.
Nathan ambaye alikua nyota katika kikosi cha vijana chini ya miaka 19 amesaini mkataba wa kuichezea Chelsea jana jumatatu kwa dau la pauni milioni 4.5.
Mbali ya Chelsea pia klabu ya Manchester City ilikuwa ikimuwania saini ya mshambuliaji huyo.
Hata hivyo, bado uongozi wa Chelsea haujatoa taarifa rasmi kuhusiana na kumnasa mchezaji huyo.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: