April 03, 2015

Viwanda vya Mikorogo Vikizimwa ulimwenguni tutawasahau wengi

Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi n... thumbnail 1 summary
Kufuatana na hali halis ya watu kujibadili sura mpaka kukalibia jini, siku ametokea muungwana mmoja Africa akasema viwanda vya vipodozi na mikorogo vizimwe na kutotumika tena.
Ipo siku tutawasahau wengi, wengine tutawapa shikamoo bibi, wengine kuwakimbia kwa mabaka ya rangi nyingi tofauti.

Nawasilisha. Bajameni Mkorogo ni Hatari kwa afya yako, Ukatae usiruhusu kansa.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: