April 26, 2015

Picha ya Wema Sepetu Akiwa Hospitalini Yashtua wengi..Wengi Wauliza Kama ndo Ameanza Matibabu ya Kupata Mtoto Ama la

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Proje... thumbnail 1 summary

Hii ni Moja Kati ya Picha za Wema Sepetu zinazorushwa mtandaoni toka Jana zikiwa Hazina maelezo ya Kutosha kama ni mgonjwa ama ni Project ya Movie! Picha zinaonyesha
Mazingira ya Hospitalini akihudumiwa na Manesi....

Mashabiki wake wengi leo wanauliza Je ndio Matibabu ya Kupata Mtoto yameanza ?
Hii imekuja baada ya habari kuzagaa kuwa Waganga mbali mbali wamejitokeza Kumsaidia ili kutatua tatizo

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: