March 22, 2015

Nyota ya kijani yaniharibia ndoa, Sina Hamu na Tendo la Ndoa Tena..Ushauri Please

Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa thumbnail 1 summary
Naomba msaada wataalamu ni miezi miwili sasa tangu nijiunge na uzazi wa mpango ili kurahisisha kupanga uzazi sasa
tatizo ni kuwa sina hamu tena na tendo sina kabisa sijisikii chochote nikiwa uwanjani kwa fundi selemara!
Nimeweka kijiti, je nifanyeje maana naona mwenzangu anakereka! Nitaweza kurudi kwenye hali ya kawaida hapo baadae au ndio basi tena hadi nitakapoenda kukitoa?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: