February 28, 2015

TEAM WEMA WAMLIPUA ZARI THE LADY BOSS KWA KURUDIA NGUO MOJA KILA WAKATI

Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies Wamemlipua Zari kwa Kusema Anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti ....Jiso... thumbnail 1 summary

Page moja huko instagram inayojiita Wemaselfies Wamemlipua Zari kwa Kusema Anarudia nguo moja kila wakati katika mitoko tofauti ....Jisomee hapa:

'Hivi hiyi tyt hayibadilishwi? Khaaa jamani sasa Bosslady gani anavaa the same thing kila siku? Wewe mama uliingiana gia ya 5 sasa utatoka without no gia hivi nyiye Domo mnamuelewe kweli? 
Mie mnisaidie nikwanini akiwa na mwanamke lazima huo mwanamke ajisahau Zari stop your stupidity nakuona unavyo comment kwa lemapumbuz ww jobless don't try os oooh abeg and nyiye team zari soon mtaanza kampeni ya bring back zari if not ohoooo mamkubwa kapotea yanii zari kwisha no big big money no job no nothing ww acha kufatilia team wema plzzz ooooh. May Allah bless my @wemasepetu katika kila kituu ufanyacho fanya asante munguu kuona kakuamsha mapema kwenye usingizi najua wengine hivi walipo wanapanga tufanye nini ili tumuharibie wema but nothing to worry mungu yupo na ww @wemasepetu wanguu we love u and wish u all the best na sikuu utaachiya hiyo kazi kunawatuu watachukuwa likizo instaa we keep praying for u @wemasepetu'

Je na wewe Unamwambiaje Zari Kuhusu Kuvaa Nguo moja Kila Wakati?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: