December 14, 2014

PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

                              Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekan... thumbnail 1 summary

                           
  Gari aina ya Brabus ambayo inayomilikiwa na mmiliki wa klabu ya Manchester City ya England, imeonekana leo Dar es Salaam, lakini ni mali ya Yussuf Bakhresa, mtoto wa bilionea Mtanzania, Alhaj Sheikh Said Salim Awadh Bakhresa. Vyanzo vimesema Yussuf alitoa oda maalum kutengenezewa gari hili na thamani yake jumla si chini ya dola za Kimarekani 500,000 sawa na shiingi milioni 805 za kibongo.
 
 
Hii hapa mali ya Yussuf Bakhresa 

Huyu jamaa ndiye anayeendesha gari hili la mtoto wa Bakhresa
 
Angalia alivyotulia ndani ya mzigo wa dola 500,000 
 
Ni oda maalum kwa ajili ya Yussuf Bakhresa    
 
Mwingine mwenye gari kama hii Dar es Salaam nani?  
 
Kutoka Manchester hadi Dar es Salaam

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: