December 12, 2014

MSHINDI WA BIG BROTHER 2014,IDRIS SULTAN AZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI DAR

 Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar ... thumbnail 1 summary
 Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es salaam leo,wakati akizungumzia ushindi wake na uzoefu alioupata katika Jumba hilo la Big Brother huko nchini Afrika Kusini.Kulia ni Meneja Masoko wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Furaha Samalu na kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi.
  Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es salaam leo.
Idris akizungumza.
 Alikuwa Mshiriki mwenza wa Idris Sultan,Irene Laveda akizungumza machache kwenye Mkutano huo.
 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Barbara Kambogi akizungumza jambo wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam leo.
 Sehemu ya Waandishi wa habari waliofika katika Hoteli ya Hyatt Regency kumsikiliza Mshindi wa Big Brother 2014,Idris Sultan.
 Wadau wakipiga picha ya pamoja na Idris na Laveda.
 Mpiga picha na Blogger,Salma Msangi kazini

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: