November 04, 2014

NEYMAR APATA SHAVU LINGINE!

Neymar ameungana na mrembo wa Mexico, Daniela de Jesus kama visura wa miwani hizo. Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar da Silva Sa... thumbnail 1 summary


Neymar ameungana na mrembo wa Mexico, Daniela de Jesus kama visura wa miwani hizo.
Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar da Silva Santos JĂșnior amekula shavu la kuwa kisura wa miwani za polisi, SS15.
Neymar amefuata nyayo za mastaa wengine waliowahi kuwa mabalozi wa miwani hizo ambao ni pamoja na Bruce Willis, George Clooney, David Beckham na Antonio Banderas.
Hizi ni picha zake zaidi.


SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: