October 21, 2014

MTOTO WA KIGOGO MKOANIA DODOMA ASHINDA BAR NA MTOTO MCHANGA NI BAADA YA MZAZI MWENZAKE KUMSUSIA MTOTO

Kelvini Mwamoto ambaye ni mtoto wa kigogo Maarufu sana hapa Nchini ambaye maskani yake ni mkoani Dodoma, Hivi karibuni amzua gumzo kwa ba... thumbnail 1 summary

Kelvini Mwamoto ambaye ni mtoto wa kigogo Maarufu sana hapa Nchini ambaye maskani yake ni mkoani Dodoma, Hivi karibuni amzua gumzo kwa baadhi ya watu wake wa karibu kumshangaa kijana huyo kuwa karibu sana na mwanae ambaye bado mchanga, Kijana huyu ambaye ni mtanashati alizidi kuwaumiza sana vichwa washkaji zake kwa kuonekana hadi sehemu za starehe akiwa na mwanae kambeba mgongoni, baadhi ya watu kadhaa walisikika pembeni wakinongona kuwa mchizi huyo kasusiwa mtoto na mzazi mwenzake ambapo inamsibu kutembea naye kila pahala






SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: