September 09, 2014

Ni Miss Universe Tanzania 2014 kwenye headlines!

Naambiwa yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yam... thumbnail 1 summary
Screen Shot 2014-09-09 at 1.37.07 PMNaambiwa yale mashindano ya kumsaka mwakilishi katika mashindano makubwa kabisa ya ulimbwende ulimwenguni Miss Universe Tanzania 2014 yameanza rasmi kwa hiyo kama
unaamini hii ni yako kwa sababu unavyo vigezo vyote usisite kwa nini uiache ipite?
Na tatiba ya usaili nimepewa kabisa kwamba Mwanza itakua Gold Crest tarehe 14 /09/2014 saa 4 asubuhi mpaka saa 9 alasiri, Arusha ni tarehe 12/09/2014 Mbeya na Iringa  tarehe 16/09/2014 alafu Dar es salaam itakua tarehe 19/09/2014ambapo sehemu itakapofanyikia pamoja na muda utatangaziwa baadae lakini kama unahitaji maelezo zaidi piga hizi namba 0655441165/0713302075

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: