August 14, 2014

MAJANGA MSANII TUNDAMANI ATIWA MBARONI NA KUPIGWA PINGU

msanii wa bongo flava tundamani amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukamatwa kwa mda nchini Kenya kabla ya kuachiwa huru. tukio Zima ... thumbnail 1 summary

msanii wa bongo flava tundamani amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukamatwa kwa mda nchini Kenya kabla ya kuachiwa huru. tukio Zima lilitokea pale ambapo tundamani alshndwa kusimama kwenye kizuizi barabarani jambo lililowafanya maafisa wa polisi kumfukuza kwa nyuma na kumkamata wakijua ni gaidi. hata hvyo baada ya mahojiano ya mda mrefu tunda aliachiwa huru

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: