August 10, 2014

CHUKUA ,MDA WAKO KIDOGO KUTAZAMA PICHA YA KILICHOJILI BETHIDEI YA NANCY SUMARY

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn thumbnail 1 summary

Hapa ni siku ya birthday ya mlimbwende Nancy akiwa na walimbwende wenzake Faraja Nyalandu na K-Lynn
Maisha bongo ni tambalale warembo wanye maisha ya mboga 7 wakipata upepo safi na jua la afya wakiwa kwenye boat.
K-Lynn akijiachia
Fausta, Faraja na K Lynn wakijiachia.
Fausta, Faraja, Sophie, Nancy, K Lynn & Nasreen
K Lynn na Fausta katika pose
Gorgeous K Lynn and Nasreen wote ni Ma Miss Tanzania waliopita

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: