August 08, 2014

ALLY KIBA ATOA MAJIBU KWA NINI KAFUTA FOLLOWERS WAKE

Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatim... thumbnail 1 summary

Baada ya kutupiwa lawana nyingi na maswali yakiendela kumiminika ili atoe sababu ya kuunfollow watu kwenye mtandao wa Instagram hatimaye
msanii Ali Kiba ameamua kujibu kama ifuatavyo:





  Hapo juu ni swali kutoka kwa mtangazaji wa Times FM Fadhili Haule na fans wengine

Hili ndo jibu la Ali Kiba. So ukitaka kuwasiliana nae tanya kumfollow twitter.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: