July 12, 2014

MARIO BALOTELLI ALETA `MIZINGUO` TENA INSTAGRAM, JAMAA HUYU HAISHIWI VITUKO...

+4 Utata: Mario Balotelli aliposti picha akijilengesha bastola kwenye mtandao wa Instagram kabla ya kuifuta. thumbnail 1 summary
Controversy: Mario Balotelli posted a pictured of himself with a gun on Instagram before deleting it
Utata: Mario Balotelli aliposti picha akijilengesha bastola kwenye mtandao wa Instagram kabla ya kuifuta.


Imechapishwa Juni 11. 2014, saa 7:39 mchana

MTUKUTU Mario Balotelli ameposti picha yake iliyoonekana kama anajilengesha bastola  kwenye mtandao wa Instagram.
Mshambuliaji huyo wa Italia alionekana akijilengesha  bastola mbele ya kamera na akaisindikiza kwa maneno yaliyosema 
"Busu kubwa kwa maadui wote".
Nyota huyo mwenye miaka 23 baadaye alifuta posti hiyo.
Head boy: Mario Balotelli rises above Gary Cahill to score the winner for Italy against England
Mzee wa ndosi: Mario Balotelli akiruka juu ya Gary Cahill na kufunga bao katika ushindi wa 2-1 kwenye fainali za kombe la dunia dhidi ya Englad
Pumped up: Mario Balotelli celebrates scoring against England at the World Cup last month
 Mario Balotelli akishangilia bao lake dhidi ya England mwezi uliopita nchini Brazil.
Drowning his World Cup sorrows: Mario Balotelli looked to be having a great time frolicking in the sea with his fiancee Fanny Neguesha in Miami

Akipunguza maumivu ya kutolewa kombe la dunia: Mario Balotelli alionekana akiwa katika raha kubwa na mchumba wake  Fanny Neguesha mjini Miami.

Balotelli kwasasa yupo likizo mjini Miami pamoja na mchumba wake Fanny Neguesha baada ya Italia kutupwa nje ya kombe la dunia katika hatua ya makundi.


Juni 15 mwaka huu, nyota huyu alifunga bao la ushindi ambapo Italia iliifunga England mabao 2-1.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: