Baada ya Ku TREND sana mitandaoni hapa AFRIKA mwana dadaVERA SIDIKA sasa atapata kujulikana kimataifa zaidi...hii ni baada ya kupata nafasi ya kufanyiwa INTAVYUU na moja kati ya
shirika kubwa la vyombo vya HABARI duniani, Al-Jazeera.
shirika kubwa la vyombo vya HABARI duniani, Al-Jazeera.
Kupitia ukursa wake wa INSTAGRAM Vera alishare nasi picha hizi akiwa anahojiwa na mtangazaji Malcom Webb wa Al-Jazeera.