June 23, 2014

Mzee Majuto: Maisha Yangu ni Komedi tosha

Mchekeshaji wa muda mrefu Amri Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa maisha yake ni komedi tosha kut... thumbnail 1 summary

Mchekeshaji wa muda mrefu Amri
Athuman 'Mzee Majuto' ametoa kali ya
mwaka baada ya kusema kuwa maisha
yake ni komedi tosha kutokana na
kumvunja mtu mbavu bila kujali yuko
mahala gani....
Akizungumza na mwandishi wetu, Mzee
Majuto alisema yeye hutoa shoo muda
wowote bure bila kujali yuko katika
wakati gani kwani maisha yake ni

komedi tupu...
"Maisha yangu ni komedi tosha,siwezi
kuacha kuchekesha.Wakati mwingine si
kwa kupenda bali huwa najikuta tu
nimefanya hivyo ,
inabidi watu wanizoee
tu....
"Huwa sina nia ya moja kwa moja
kuchekesha watu, lakini kumbe kauli
zangu huwavunja mbavu.Sijisikii vibaya
kwa hilo, najivunia kuendelea kuwa
msanii ninayekubalika hadi umri huu,"
alisema mzee Majuto

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: