June 25, 2014

Libya imeingia kwenye uchaguzi mpya kumaliza vurugu.

Raia wa Libya wamepiga kura hii leo katika uchaguzi wa kuchagua bunge jipya ambao ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hiyo iliyokumbwa na... thumbnail 1 summary
libya
Raia wa Libya wamepiga kura hii leo katika uchaguzi wa kuchagua bunge jipya ambao ni muhimu kwa mustakabali wa nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko kwa miezi kadhaa.

Kuna matumaini kuwa bunge jipya litakalochaguliwa litafanya kazi kuutatua
mgogoro wa madaraka kati ya waliberali na wanaoegemea dini, ambao umekwamisha juhudi zote za mageuzi nchini Libya.
libya2
Bunge la Libya, ambalo ndilo chombo cha juu kabisa cha kisiasa baada ya
kuangushwa kwa kiongozi wa nchi hiyo Muammar Ghadafi, lilichaguliwa Julai 2012, katika uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasi.
Lakini limekumbwa na utata na kutuhumiwa kwa kuhodhi madaraka, ambapo serikali zimekuwa zikilalamika kuwa jukumu lake la utawala na utungaji sheria linazifunga mikono katika kuwadhibiti wapiganaji

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: