Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa aki...
15:38
Adha ya Foleni jijini Dar es Salaam imemkumba mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka nchini Tanzania, Shy-Rose Bhanji aliyekuwa akisafiri kwa ndege na
kulazimika kukwea bodaboda ili imuwahishe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere Dar es Salaam
SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: