Hoteli hiyo aliiita Chuna Buzi Hotel lakini baada ya ushauri sasa anaipa jina la Igunga One Restaurant.
“Nimeamua kubadili jina baada ya kushauriwa na rafiki zangu, maana jina la kwanza lilikuwa na utata, na hata lilikuwa na maswali mengi kwa wapita njia, lakini jina la sasa lipo poa kila mtu kalifurahia,”anasema
Moja ya sababu nyingine iliyopelekea kubadili jina na kuipa jina la Igunga One Restraurant, ni kutokana na huduma itakayopatikana katika Hotel hiyo kutauzwa vinywaji baridi na vileo, alisema Shilole.