May 08, 2014

MWANAJESHI APEWA KICHAPO KIKALI NA ASKARI WA USALAMA! ONA HAPA





Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga
Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: