May 17, 2014

MJENGO WA MTITU WATEKETEZA MIL. 178

MAENDELEO!  Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu ameteteketeza shilingi Mil. 178 katika mjengo wake mpya uliopo Kigogo j... thumbnail 1 summary
MAENDELEO! Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu ameteteketeza shilingi Mil. 178 katika mjengo wake mpya uliopo Kigogo jijini Dar.


Mjengo wa mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu unaosadikika kughalimu zaidi ya shilingi milion 178
Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza data kuwa, licha ya mjengo huo kutokamilika
kabisa lakini hadi sasa, milioni 45 zimetumika kununua kiwanja, 38 kununua samani za ndani na ujenzi ni Sh. Mil. 85.
Alipotafutwa Mtitu azungumzie mjengo wake huo, alisema hana cha kuongea kila kitu kinajionesha.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: