May 11, 2014

HIZI NDIZO PICHA ZA KANYE NA MKEWE KIM KARDASHIAN ILIYOWASHANGAZA MTANDAONI...

Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na ... thumbnail 1 summary

Wengi imewashangaza kuona kuwa wawili hawa wanapata muda wa kukaa pamoja na kufanya vitu romantic kama kwenda Vacation, kuutokana na picha hizi zilizokuwa released hivi
karibuni na magazeti ya udaku nchini Marekani...Picha hizi zimewaonyesha wawili hao walikuwa wakifanya hivyo (Picha hizi zilipigwa mwaka 2012).
Tofauti na Jay Z na Beyonce ambao mara kwa mara wamekuwa wakienda vacation ..kwa upande wa Kanye and Kim mara nyingi wamekuwa  mitaani na  mapaparazi huwapicha picha...Wengi wanaamini kuwa Kanye anaonekana kuwa sio mtu wakupenda vitu kama Vacations..Anaonekana yuko VERY SERIOUS.....Jionee picha hizo!!

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: