April 07, 2014

YANGA YAFANYA MAUAJI UWANJA WA TAIFA

TIMU ya Yanga imefanya mauaji baada ya kuishushia kipondo cha bao 5-1 timu ya JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara thumbnail 1 summary
TIMU ya Yanga imefanya mauaji baada ya kuishushia kipondo cha bao 5-1 timu ya JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara
iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam hivi punde. Mabao ya Yanga yamewekwa kimiani na Mrisho Ngassa aliyefunga matatu 'hat trick' dakika ya 8, 15 na 49 wakati

mengine yakifungwa na Didier Kavumbagu dakika ya 39 na Hussein Javu dakika ya 52 ya mchezo. Bao pekee la JKT Ruvu limewekwa kimiani na Idd Mbaga dakika ya 84.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: