April 06, 2014

MAFIKIZORO WAFUNIKA MLIMANI CITY JIJINI DAR USIKU WA JANA ...TAZAMA MAPICHA

Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi thumbnail 1 summary


Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Nyomi
ya watu imefurika ukumbini kuwashuhudia wakali hawa wa mafikizoro.

...Wakali wa kundi la mafikizoro usiku huu wanaendelea na kukamua.
...Nyomi ya watu imefurika ukumbini usiku huu.
Mashabiki wa Mafikizoro wakicheza moja ya wimbo ndani ya Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar, Usiku huu.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: