April 12, 2014

LICHA YA KUWA KWENYE NDOA AUNT EZEKIEL AENDELEA KUVAA MAVAZI YA NUSU UCH****

MKALI wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa aachwe avae jinsi anavyojisikia hata kama yeye ni mke wa mtu. thumbnail 1 summary

MKALI wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa aachwe avae jinsi anavyojisikia hata kama yeye ni mke wa mtu.



 Akifafanua kauli yake mbele ya kinasa sauti chetu, Aunt alisema watu wengi wamekuwa wakimtaka avae kistaarabu kwa kuwa ni mke wa mtu.

Waniache bwana, sijakataa kama mimi ni mke wa mtu lakini pia nipewe uhuru kwani najitambua,” alisema.

SHARE THIS POST TO SOCIAL MEDIA BELOW: